Natafuta mbegu za miwa,nanasi ,mihogo na ndizi

kabatimpya

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
231
250
Habarini wanagenzi.
Poleni na shughuli za Lusaka mkate.
Kama nilivyojinasibu hapo juu.
Nimehangaika mno kutafuta mbegu halisi ya mimea hiyo niliyoitaja bila mafanikio.naambulia kupata visiki vyake nipande.
Mwenye kufahamu nitapata wapi mbegu zake anielekeze.ziwe kama za mahindi,maharage,papai embe na kadha wa kadha zifananazo na mpangilio huo..
Sihitaji vishina vya kuchomeka nahitaji MBEGU.
 
kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,362
2,000

Hicho unachokitafuta ushawahi kukiona kiongozi?
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
7,060
2,000
Habarini wanagenzi.
Poleni na shughuli za Lusaka mkate.
Kama nilivyojinasibu hapo juu.
Nimehangaika mno kutafuta mbegu halisi ya mimea hiyo niliyoitaja bila mafanikio.naambulia kupata visiki vyake nipande.
Mwenye kufahamu nitapata wapi mbegu zake anielekeze.ziwe kama za mahindi,maharage,papai embe na kadha wa kadha zifananazo na mpangilio huo..
Sihitaji vishina vya kuchomeka nahitaji MBEGU.
Njoo uchukue huku Kifulambute Uvinza zipo nyingi sana!
 
nawala

Member
Mar 21, 2020
29
75
Mkuu kwanza hizo product ulizotaja sio original. Yan God did not made it.
Nanasi miwa hiz ni hybrid za maabara ndio maana hazina mbegu.
Mungu hakuumba kitu kisichokuw na mbegu. Alituagiza kuwa tule miche yenye mbegu na matunda ya mbegu. Ila kwasbb ya GMO ndio madhara yake haya.
1.Nanasi lina protein inayokula enzymes wako yan ukilila na lenyew linakukula.Mungu hakuumba hii kitu.nanasi ni acidic kwhy litaweka mucus kwa mwil wako usile!!
2. Muwa ni too acidic ni hybrid ni man made usithubutu kula litakupa mucus .
3. Mihogo ni acid na pia ina hydrogen cynide itakula iron zako na kukufany immunity yako iwe mbovu.
4. Ndizi zipo zina mbegu .hiz tunaita wild banana zinapatikana malasya na indonesia pia indochina na bhutan .
Ndiz zina species mbili ambazo ni natural
Kuna MUSA ACUMINATA
NA MUSA BILBASIANA.
Ila hiz za sasa ukipasua kati kuna vidude vyeus ile ndio zilikuw mbegu ila maabara wakafanya yao .
Ndiz hizo ni acidic usile.
Km unatak ndiz kula zile buro au sukar vile vidogo .pia kula za maganda mekundu kbs acuminata.
 
darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
1,145

Acha kutisha watu hapa kila kitu kizuri usile kwani ukila kina shida gani

Babu yangu ameishi kwa kula hivyo vyote ulivyotaja hasa ndizi na amekufa akiwa na 113 years tatizo liko wapi hapo
 
nawala

Member
Mar 21, 2020
29
75
Sikutish babu alianz kula at age of 50 na alikula natural nying kuliko kisasa kwhy sumu ilimezwa na tiba asil maji asil .sasa wew saiv kula mzzee kulaaa
Acha kutisha watu hapa kila kitu kizuri usile kwani ukila kina shida gani

Babu yangu ameishi kwa kula hivyo vyote ulivyotaja hasa ndizi na amekufa akiwa na 113 years tatizo liko wapi hapo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom