Natafuta Mayai Ya kununua

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,132
Habari,
Mimi ninashida ya mayai ya kizungu kwa hapa Dar es salaam ,shida yangu Ni trei 10 kwa siku ,Kama wewe Ni mfugaji na upo hapa dar itakuwa vizuri tufanye biashara
 
Upo wapi na weka mawasiliano tukutafute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom