Natafuta mawasiliano ya chuo cha ualimu government

yuga

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
371
255
Wana jf habar zenu..!

Mm nlikua naomba kupata mawasliano na mkuu wa chuo chochote cha serikali kinachotoa STASHADA YA UALIMU WA SEKONDARI SAYANSI NA HISABATI. Naomben msaada au mtu mwenye connection ya uhakika wa kupata nafasi aniconnect nipate hiyo cozi hiyo.

Nimemaliza six mwaka jana nimeaply through nacte sijapata nafasi. Ila nliaply upande wa afya peke yake. Ila nimekosa kwa sababu ya competition kubwa sasa nahitaji nisome ualimu ila nacte mpaka sasa hawajafungua second around na hata wakifungua sina matumaini nao tena.

Nahitaji direct chuoni. Nimesoma mchepuo wa PCB. Ualimu nahitaji nikasome wa Physics na chemistry. Please wana jf naombeni mnisaidie. Mawasliano 0621060153.
 
Wana jf habar zenu..!

Mm nlikua naomba kupata mawasliano na mkuu wa chuo chochote cha serikali kinachotoa STASHADA YA UALIMU WA SEKONDARI SAYANSI NA HISABATI. Naomben msaada au mtu mwenye connection ya uhakika wa kupata nafasi aniconnect nipate hiyo cozi hiyo. Nimemaliza six mwaka jana nimeaply through nacte sijapata nafasi. Ila nliaply upande wa afya peke yake. Ila nimekosa kwa sababu ya competition kubwa sasa nahitaji nisome ualimu ila nacte mpaka sasa hawajafungua second around. na hata wakifungua sina matumaini nao tena. Nahita direct chuoni. Nimesoma mchepuo waPCB. Ualimu nahitaji nkasome wa Physics na chemistry. Please wana jf naombeni mnisaidie. Mawasliano 0621060153.
Ulifaulu vipi kidato cha sita?
 
Tafadhal usije ukapoteza ndoto zako kama unakauwezo nenda kasomee kozi za afya vyuo binafsi
 
Usiwe na haraka mkuu Kama hutojali subiri next year uombe coz nyingine tofauti na hiyo Ila huko unapotea mdogo wangu watu wana pakimbia we unataka kwenda
 
Nikekaa home mwaka mzima tangu mwaka jana tena mwaka huu nkae duh! Kumbk hata anko magu alianzia huku huku japo nchi ilikua shwar sio km ya sasa. Ila km kuna uwezekano naomba. Mchangie mawazo hapo wakuu
 
Sawa mkuu kitaaa kinachosha ila hiyo ni future yako be careful with it
 
Yes ndo ivo kitaa kishanchosha mkuu bora npate hiyo kozi maana si unajua perception za watu wa vijijin wakikuona umekaa home mwaka mzima wanaanza "amefeli amerudi tulime hapa au kamlia babake ela huko kaja kukaa hapa" kuondoa aibu hizo bora ntafte chuo mkuu nkapambane naamn huko huko riziki yangu ipo.
 
Sawa mkuu Kila la kheri
 
Tafadhal usije ukapoteza ndoto zako kama unakauwezo nenda kasomee kozi za afya vyuo binafsi
Nakuunga mkono.
Au hiki kitu kinaitwa ICT kinawatoa sana vijana sjui kwann watu bado wanapambana na kozi ambazo hali halisi ya wenzao wanaiona kabisa
 
Nikekaa home mwaka mzima tangu mwaka jana tena mwaka huu nkae duh! Kumbk hata anko magu alianzia huku huku japo nchi ilikua shwar sio km ya sasa. Ila km kuna uwezekano naomba. Mchangie mawazo hapo wakuu
Ndo role model wako?
 
Wana jf habar zenu..!

Mm nlikua naomba kupata mawasliano na mkuu wa chuo chochote cha serikali kinachotoa STASHADA YA UALIMU WA SEKONDARI SAYANSI NA HISABATI. Naomben msaada au mtu mwenye connection ya uhakika wa kupata nafasi aniconnect nipate hiyo cozi hiyo.

Nimemaliza six mwaka jana nimeaply through nacte sijapata nafasi. Ila nliaply upande wa afya peke yake. Ila nimekosa kwa sababu ya competition kubwa sasa nahitaji nisome ualimu ila nacte mpaka sasa hawajafungua second around na hata wakifungua sina matumaini nao tena.

Nahitaji direct chuoni. Nimesoma mchepuo wa PCB. Ualimu nahitaji nikasome wa Physics na chemistry. Please wana jf naombeni mnisaidie. Mawasliano 0621060153.
Kushauri Nenda Ukasome VETA Kwa Ufaulu Wako Itakusaidia Kama Mwanaume
 
Mkuu mambo ya chuoni moja moja yalipitwa na wakati ukienda uko utaombwa hela tu na huwezi kupokelewa kwanza lazma majina yatatumwa nacte tena kwa ajir ya uhakiki tulia omba usimpende mkato direct moja moja utarudishwa katikati ya safari ukianza masomo
 
Back
Top Bottom