NATAFUTA MASHINDANO YA USHAIRI POPOTE YALIPO.

UZZIMMA

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Messages
332
Points
250
UZZIMMA

UZZIMMA

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2014
332 250
Habarini; Mimi ni mtunzi ghuli wa mashairi ya kiswahili. Kwa muda mrefu sana nina hamu ya kushindana na watunzi wenzangu wa mashairi, nikiwa na imani ya kushinda.

Ila sijawahi kusikia wala kualikwa katika mashindano.

Nikifwatilia mtandaoni nakuta mashindano yaliyopita muda ( aidha miezi miwili iliyopita), ila sijawahi kukuta mashindano yajayo.

LENGO KUU.
Kwa yeyote atayeona au kusikia mashindano ya utunzi wa ushairi yajayo, anijulishe haraka sana.
 

Forum statistics

Threads 1,303,744
Members 501,127
Posts 31,490,940
Top