UZZIMMA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 406
- 456
Habarini; Mimi ni mtunzi nguli wa mashairi ya kiswahili. Kwa muda mrefu sana nina hamu ya kushindana na watunzi wenzangu wa mashairi, nikiwa na imani ya kushinda.
Ila sijawahi kusikia wala kualikwa katika mashindano.
Nikifwatilia mtandaoni nakuta mashindano yaliyopita muda ( aidha miezi miwili iliyopita), ila sijawahi kukuta mashindano yajayo.
LENGO KUU.
Kwa yeyote atayeona au kusikia mashindano ya utunzi wa ushairi yajayo, anijulishe haraka sana.