Natafuta mashamba kwa ajiri ya kulima mpunga Ifakara

Nick Furry

Senior Member
Sep 23, 2016
171
178
Heloooo
Natafuta mashamba ya kukodi kwa ajili ya kulima mpunga (Ifakara).....yawe na uhakika wa maji
Kama unaweza nisaidia kupata au kama kuna mtu unamfaham anaweza nisaidia please naomba msaada wako...nahitaji ekari mbili...0755764161/0692760746
 
Kwa mtaji huo tafuta shamba LA kukodi karibu na unapoishi au hamia kabisa huko shamba kama ukipata ifakara.Mimi nilichojifunza kama unalima eka chache basi ni lazima uwe karibu ili kupunguza gharama za usafiri,ila ukiwa na ekari kuanzia 10 si mbaya kwani gharama zitajilipa tu.Halafu kama ndio Mara ya kwanza kulima hakikisha unakuwa front ili usiibiwe na kujenga uzoefu.
 
Heloooo
Natafuta mashamba ya kukodi kwa ajili ya kulima mpunga (Ifakara).....yawe na uhakika wa maji
Kama unaweza nisaidia kupata au kama kuna mtu unamfaham anaweza nisaidia please naomba msaada wako...nahitaji ekari mbili...0755764161/0692760746
Mkuu wakikutafuta na mimi nifahamishe maana nahitaji kuanzia heka 30 na kuendelea
 
..mpunga unatumia miezi 4-5 huo mwaka ni wa nn
Kama atalima eka 2 Mara moja kwa mwaka,then akapata ml 3.Sisi wakulima tunahesabu kuwa ameingiza ml 3 kwa mwaka kwenye kilimo husika.Habari ya miezi 4_5 unaijua wewe,nikifuga nguruwe lazima nijipime kwa mwaka wameniingizia kiasi gani japokuwa naweza kuwauza kila baada ya miezi 6.
 
kama atapata milioni 3, je atakuwa amewekeza kiasi gani?
 
mashamba ifakara yamekua ni challenge in terms of bei na competition inayosababishwa na uhitaji, kwa ushauri wangu nenda itete,ngombo au malinyi mkuu pia ningependa kujua una mtaji wa kiasi gani ili nikushauri vizuri
Nina kama laki sita na nusu broo.....vipi ni mwenyeji kidogo unipe mwanga?.....
 
mi uko kote nakupata vizuri kuanzia ruaha,msolwa,mkula,mang'ula,ifakara,lupiro,mahenge,malinyi,ngoheranga,ngombo,mwaya,itete,na kwngine koote katika izo wilaya
 
Mimi nipo tayari kukusaidia kupata mashamba ya kulima either kwenye skimu ,au kilimo cha mvua ya mungu .je? Mimi ntafaidika aje na usumbufu utakaojitokeza pia nta kukonect na bwana shamba wazuri ninaofanya nao kazi .lama uko ni pm .nipo kilombero ifakara.
 
Kama atalima eka 2 Mara moja kwa mwaka,then akapata ml 3.Sisi wakulima tunahesabu kuwa ameingiza ml 3 kwa mwaka kwenye kilimo husika.Habari ya miezi 4_5 unaijua wewe,nikifuga nguruwe lazima nijipime kwa mwaka wameniingizia kiasi gani japokuwa naweza kuwauza kila baada ya miezi 6.
...financially mwaka ni miezi 12, mtu anatumia miezi minne kuzakisha kitu, inabaki miezi 8, ambayo ataitumia kufanya shughuli nyingine za kipato,
Labda ingeleta mantiki endapo uniambie yeye atatumia solid 12months akiwa shambani ndo ningekuelewa
Kimsingi hakuna mwaka wa ukulima unaokamilishwa na miezi minne, hapa dhana sio ukulima hapa dhana ni biashara.

Wewe ungestick kwenye costs of production and profit hapo ingeleta mantiki, lakini la miezi minne kuwa mwaka, hiyo hapana
 
MCHAGA TOKA LINI AKALIMA MPUNGA BANA,MCHAGA YAKE KAHAWA NA NDISII, ACHA KUTUZINGUA MWACHE JAMAA ATUELIMISHE,
 
Mkuu Chagga King , mkuu rice cooker yuko sahihi. Wengi hudhani ukiambiwa kilimo cha zao fulani hutumia miezi minne tunadhani ndani ya hiyo minne ndio kila kitu kinakwisha. Kuna muda mwingi sana wa ziada unakuwa haujahesabiwa. Mf. Nilijaribu kulima kitunguu, mwanzo niliambiwa kitunguu ni miezi mitatu. Nikadhani miezi mitatu kila kitu kinaisha. Nikaanza.... miezi miwili iliisha kutafuta mashamba na kuyaandaa, miezi mitatu na nusu ikawa ya mazao shambani, mwezi na nusu ikawa ni mavuno na kuhangaika na soko. Imagine miezi 7 ikawa imekatika.

Hivyo mkuu ukiambia kilimo cha mpunga ni miezi 4 usidhani utakuwa na miezi 8 ya kujidai.

...financially mwaka ni miezi 12, mtu anatumia miezi minne kuzakisha kitu, inabaki miezi 8, ambayo ataitumia kufanya shughuli nyingine za kipato,
Labda ingeleta mantiki endapo uniambie yeye atatumia solid 12months akiwa shambani ndo ningekuelewa
Kimsingi hakuna mwaka wa ukulima unaokamilishwa na miezi minne, hapa dhana sio ukulima hapa dhana ni biashara.

Wewe ungestick kwenye costs of production and profit hapo ingeleta mantiki, lakini la miezi minne kuwa mwaka, hiyo hapana
 
Heloooo
Natafuta mashamba ya kukodi kwa ajili ya kulima mpunga (Ifakara).....yawe na uhakika wa maji
Kama unaweza nisaidia kupata au kama kuna mtu unamfaham anaweza nisaidia please naomba msaada wako...nahitaji ekari mbili...0755764161/0692760746
Uwiii njoo inbox ASAP shamba lipo mngeta acre 100
 
Ukitaka kumpata Mtanzania mwambie kilimo ni cha miezi 3,4 hivyo pesa inarudi fasta haaa.Mimi kabla sijaingia kwenye hiyo kitu nilikuwa na mawazo hayohayo,ila ukitaka kujua utachukua miezi mingapi shambani jaribu uone.Lazima tukubariane kuwa kilimo ni process ambayo inaanzia kwenye hatua ya mwanzo hadi unapouza bidhaa sokoni ndipo miezi ya kilimo inakamilika.Ninamashaka kama jamaa ashawahi kulima!!!kuna watu wanalima mahindi kibiashara unakuta mpaka mwezi wa Tisa bado wanavuna hapo bado kuuza.
 
Nishawahi kulima broo....ila sio Ifakara...
 
Back
Top Bottom