Natafuta marafiki......

kipakaMwitu

Senior Member
Feb 19, 2009
158
20
Natafuta marafiki nitakaokuwa nao kila kukicha kunipa story ili nisahau yafuatayo kichwan mwangu, Umasikini ulikithiri kijijin kwetu, ukosefu wa umeme, barabara na huduma za afya. Kila mwka natumia milion kadhaa kuwaleta town kwa matibabu ndugu, anayekuja hataki ondoka,akidai huku kwetu hakuna 'ucku'. NATAFUTA RAFIKI MWENYE SIFA ZIFUATAZO:- Awe mtz mwenye kuchukia ufisadi, mwanaharakat, mpenda nch, asiwe chama chochote chenye maslah binafs. Karibun tuliwazane!
 
duhhh
na vipi ukimpata mwenye sifa hizo
lakini anashida kuliko zako..?
Story zenu zita noga kweli ?
au zitakuwa zamasikitiko tu kila siku...
 
Natafuta marafiki nitakaokuwa nao kila kukicha kunipa story ili nisahau yafuatayo kichwan mwangu, Umasikini ulikithiri kijijin kwetu, ukosefu wa umeme, barabara na huduma za afya. Kila mwka natumia milion kadhaa kuwaleta town kwa matibabu ndugu, anayekuja hataki ondoka,akidai huku kwetu hakuna 'ucku'. NATAFUTA RAFIKI MWENYE SIFA ZIFUATAZO:- Awe mtz mwenye kuchukia ufisadi, mwanaharakat, mpenda nch, asiwe chama chochote chenye maslah binafs. Karibun tuliwazane!

Jinsia yako ni gani mkuu?
Peleka hii post yako kwenye jukwaa la siasa, hapa ni MMU
 
Raha ya shida umuone mwenzako naye ana shida!
Ukiwa na shida halafu ukamuona mwenzako anakula raha..unazidi kuumia zaidi, shida zinadouble!

Duhh hii kanuni ngumu sana Rejao..
haya basi mi nawe tujaribu.. wasemajea?
 
Huyo rafiki anatakiwa kila kukicha akupe story? mimi nilikuwa nataka marafiki lakini hii sifa naona sina
 
Wana JF wengi ni watu wanaopenda mabadiliko na sidhani kama wako biased sana kwa mawazo yao na ushauri wao, hauhitaji rafiki wa siri kihivyo unaweza kupitia JF kila siku kwa kubuduridika na kupata maushauri ya maana.

Kuna majukwaa mengi ya kuelimisha na sehemu za Jokes na utani. So unaweza kujikagua mwenyewe uko kwenye mood ya kuhitaji ushauri wa maana au unataka kusahaulishwa matatizo ili upate kufuruhi kwa vichekesho na eventually kusahau matatizo uliyonayo ...

Ni mtazamo tu ....
 
Utapata tu mkuu....

Nilikutana na mtoto mmoja wakati natoka kwenye show (mkutano) ya CDM....

Anahzo sifa, ni mwanaharakati anauwezo mkubwa sana wa kuchambua mambo mengi....
Kwa kifupi anajitambua sana, nikadata aliponiambia ni Member wa JF....

Ila dah sorry mkali siwezi kukupa hii kitu...

Ila utampata kama huyo unaemtaka kwenye maeneo yako ya interest!

Mfano kwenye makongamano ya UD pale kama Kigoda cha Mwalimu, na Matamasha ya kumuenzi Baba wa Taifa....
Nilikuwa naona marafiki wengi tu mashosti wanaharakati ful wazarendo...
Kwa hapa jf inataka moyo sana ila endelea kuvumilia coz nasikia watu wamepata wake na waume sembuse wewe unataka rafiki tu!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom