Natafuta marafiki wakike

Hio picha inatoa maelezo mengi mkuu

Anyway humu tunatumia id fake hata picha zetu ni fake huoni kama kuna sku itakuumbua hio picha kwa vitu utavyoweza ku post

Sikushauri sna kutumia ur real picture but uamuzi ni wako kaka

Enjoy........
Mkuu hizo picha unatizama wapi?
Mbona naona kidole tuu
 
Mm ni kijan wa miaka 25 naishi mkoa wa arusha,nimekuja kwenu kutafta marafiki wa kike walioko mkoa wa arusha awe na umri wa 18 hadi 24 na awe tayar kiushauri na kushirikiana.karibuniiiiii
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom