Natafuta marafiki wafanyabiashara

Njoo pm tuongee biashara nahtaji partner wa kufanya nae biashara kuna sehemu kuna marudio km yote nimeyapima yanasoma vizuri tu na awajui km ni biashara wanayamwaga mtoni yanaenda na maji tu.
 
uwiiiii💃💃💃chaap
 
Ahqa boss mtoto😅
hahahahahaahhaa inabidi tusalitiane tuu hamna namna..
by the way kuna issue fulani nmeigundua naona raia wanafukuza vibaya mno....baadae ntashare na wewe kule kijiweni kwetu...andaa maskio na macho kwani maji yamekorogeka..
 
Nimekumbuka tu misamiati michache tu kama vile . 'matanda, timber, kufunga timber ama box,nyunga, mkanda kupiga fonga, mtobozano, kupiga moto, ndege john , faza gola,Na "kuzamisha duala" hapo ndpo wachmbaj wadogo wanapoteza au kuwa mamilionea
Ntakuja tena kukusalimu mdogo wangu Maneno huko "Matanda"
 
hahahahaaa mkuu bila kusahau...mapanulizi,mausafi,kupiga tilling,bomba shaft,mamzamo,kufleshia,kufulisha,senga,masesa,lukili,ng'ana,beam,kupembua,limejikopa la manyani,matestio,freemason na mengine mengi...
 
Hahahaah umezid nikumbusha mkuu misamiati mengine ni vikole,manta na matonea
Usisahau waambia vijana wazingatie kufunga timber, waweke pa kupumzikia, pia wasichimbe nguzo maana duara likiitika tutapoteana😀😀😀
 
hahahaha ntawakumbusha mkuu wangu....huku watu wameperrreeaa...maana matimbbba yanakula si kawaida...panulizi la kanusu mzamo tu box moja ya miti 24...hilo hakuna neno maana mainspekta wako makini na makota wanajitahidi kununua kila kinachopatikana kwahyo wako watu wanahila na wengine wanachumera vilevile....kuhusu usalama wao kabla ya kuzama manta ntawaambia mkuu bila kusahau malipo halali kutoka kwa wachama kwenda wa vijana wa shift na bila kusahau kuuza la kambi kila baada ya siku moja lkn sasa wakianza kusort kamchirizi kwenye nguzo itawakost mkuu lazma wajenge box na kauchanja juu..hahhahaa..
 
Ingekuwa si haka kagenge kangu ka nyanya sa hizi ningekuwa napiga boya au nashikisha😀😀😀
 
Asante kuwakumbusha hilo na ma inspector kujua wajibu wao s wanagonga bia tu, n muhimu timu kubak salama 😀😀😀
 
Similar Discussions

34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom