Natafuta marafiki wa kweli wa kubadilishana mawazo

Habari zenu ndugu , natumai nyote mpo poa , natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo jinsi yyt , kwasasa nipo znz ki biashara ila dar pia nakuwepo , karibun nyote
Vipi ulishampata..njoo PM
 
Back
Top Bottom