natafuta marafiki wa kuchat

mambishi

New Member
Aug 30, 2011
2
0
mamboz wana jf

mimi ni wana jf mwenzangu mimi ni mdada natafuta marafiki wa kuchat na kubadilishana mawazo;
 
wataku PM tu usijali jiandae kugawa namba ya simu kama njugu...mpe taarifa shem mapema lol....juc kidn
 
Nenda fb kuna wenzako kibao.

Babu Chondo nimezimia hiyo avatar yako!

Eti siku hizi wanasema FB watoto wengi hawana hela, ukitaka 'mibuzi' na 'mishuga dadi/mami' inapatikana JF...ndio maana unawaona wengi hapa waume kwa wake, post ya kwanza utambulisho, ya pili anatafuta 'pea'!
 
unachat kitu gani bana?wewe sema unataka boyfriend.kama kuchat nenda chitchat.kwanini hujiamin?sema unatafuta mchumba uone,utawapata wengi hadi ufurahi mwenyewe.mia
 
Babu Chondo nimezimia hiyo avatar yako!

Eti siku hizi wanasema FB watoto wengi hawana hela, ukitaka 'mibuzi' na 'mishuga dadi/mami' inapatikana JF...ndio maana unawaona wengi hapa waume kwa wake, post ya kwanza utambulisho, ya pili anatafuta 'pea'!

kama umesema kweli vile?
 
Nenda fb ndugu humu utapata hadi majini..
duh! mpaka majini??????? jini kwani linajua kusoma na kuandika? mh! kama ni hivo najitoa na huu ndo mwisho wangu JF. lakini ngoja kwanza kama wewe dada sio jini basi ni PM nianze mashambulizi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom