Natafuta marafiki wa kike na wa kiume wanaojielewa

Umeanza kwa mkwara kweli kweli: Ila sina uhakika kama wewe mwenyewe unajielewa pia na kama unajiheshimu.
 
natafuta marafiki jinsia zote ila wawewanajielewa na kujiheshi pia.

Note: Sihitaji urafiki wa kimapenzi hii ni kwa akina dada watakaoamua kuwa marafiki zangu.

we mtoto wewe, unatuaibisha rockcity. Marafiki wanatafutwa kule kwa wabana pua, facebook siyo hapa kwa watu wanaotumia mda wao kutafakari. Haya sign out uende face buk
 
Nijaribu mimi halafu ndio utajua kama njiheshimu na kujielewa au laa na pia utakuwa frii kunimwaga ukiona sikufai...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom