Natafuta marafiki wa kikike na wakiume wanaojielewa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta marafiki wa kikike na wakiume wanaojielewa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by makomimi, Jan 14, 2012.

 1. m

  makomimi Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta marafiki jinsia zote ila wawewanajielewa na kujiheshi pia.

  NOTE: sihitaji urafiki wa kimapenzi hii ni kwa akina dada watakaoamua kuwa marafiki zangu.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Mie rafiki mzuri na ninajiheshimu.
  Ila sijielewei.
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  una sh ngapi za kutumia?
  au twatoleana tu mimacho
  nataka outing ya nguvu leo
  kama upo vizuri njoo
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Smile we ni nouma mwenzako ametaja hapo swala la kujielewa au unamzingua :lol:
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mokamimi, ongea sasa sio unakata kauli wakati sie tunakusemesha.

  Afu nitumie basi sato, naona uko mwanza
  Wale wa leo leo pale mwaloni.
   
 6. m

  makomimi Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  smile uko mji gani hapa Tanzania?
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mimi pia sijielewi but ni rafiki wa nguvu
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  unataka kunitoa?
   
 9. m

  makomimi Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usijali kongosho nitakutumia kwa ndege ya jioni so kuwatari kupata kitu cha ziwa victoria.kitu ambacho hujawahi kukitest tangu wamekuleta duniani.
   
 10. m

  makomimi Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kukutoa sio! vip mbona unakomalia mtoko, hujatolewa out tangu mwaka uanze nini?
   
 11. m

  makomimi Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  madamex mambo niaje?
   
 12. m

  makomimi Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuko pamoja kuanzia and nitakufundisha how to be you.
   
 13. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nipo hapa rafiki ninejiheshimu ila sijielewielewi vile, kama vipi nieleweshe.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Nikwambie kitu
  Ukiwa unamjibu mtu fulani
  Kama unatumia komputa
  gonga kwenye koment yake upande wa kulia chini
  Palipoandikwa 'Reply with quote'

  Kama unatumia simu
  Nenda kwenye komenti ya mtu unayemjibu
  upande wa kushoto chini
  gonga 'reply'

  Afu andika utakacho.
   
 15. m

  makomimi Member

  #15
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekupata kijana your so smart, and tenx for that.
   
 16. m

  makomimi Member

  #16
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TaiJike mambo vip? kongosho kanijuza kitufani ni mefurahi kwakweli.
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Karibu!
   
 18. m

  makomimi Member

  #18
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninaposema mtu anaejielewa namaanisha mtu ambaye anaishi yeye kama yeye, yani hapritendi kuwa some 1 ambaye kamuona kwenye tv or anywhere else.nataka rafiki ambaye anapenda kuonyesha nayepia ana kitu ambacho kitanifanya nimkumbuke atakapokuwa mbali na mimi. Pia mtu anaejielewa huwa siyo snitch mfano mzuri ni kongosho, katambua tatizo langu ni nini afu kanichana kwa roho safi. nadhani utakuwa umeelewa.
   
 19. m

  makomimi Member

  #19
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nisha karibia
   
 20. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  I thwea in the name of gazatte mi ni rafiki wa nguvu kwelikweli kupita woote. Ila sina uhakika na kujielewe waweza nisaidia plssssssss!!!
   
Loading...