Natafuta Mapacha Niwaoe Marafiki wa kike wanaopendana sana

Ndio umeandika nini sasa?? nini maana ya undercover alafu unataka kuoa mapacha!! Nenda shule kwanza!!
Shule ya Nini dogo kama huelewi wewe ndie unahitaji kwenda shule... Unasoma ili upate kazi mbona Punda hajasoma lakini kazi anayo? Ficha upumbavu wako Busara itawale...

Ndukidi samahani sihitaji kakapoa Sorry..
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo rikodi ya dunia? labda wakuoe wewe ndiyo iwe rikodi. Kuoa siyo kumiliki.

Wasome wenzako hawa wameshafanya zamani, sasa rikodi itoke wapi?

The twin sisters who share a HUSBAND (and he’s also married to their cousin)


  • Darger quartet live together and have 24 children between them
  • Twins married in Mormon ceremonies, while cousin became legal wife
  • Joe Darger alternates between each of their bedrooms every evening
  • He wants to change attitudes and even get polygamy decriminalised

Read more: Mormon twin sisters Vicki and Valerie Darger share a HUSBAND who's also married to their cousin | Mail Online
zomba Basi mimi nitaweka Historia Tanzania kama bado haijawekwa
 
Last edited by a moderator:
Kuna namna nyingi za kuwa Kwenye hostoria, Hakuna historia hapo, huo Ni wrndawazimu unakusumbua.


Soma Tangazo mapacha wa kike wajitokeze Nitawaoa wote ila wasijekuwa Watatu Sitowaweza na kama kuna Mabinti wanaopendana Sana yaani mabest friends nao wajitokeze kwenye Interview kama watapita...

Special Offer...Ushauri pia nakaribisha
Nahitaji niwepo kwenye historia ya nchi na Ya Dunia
 
Huyu jamaa huenda akawa ana matatizo wewe utaoaje watu ndugu?

Umezaliwa miaka ya Mkapa au Kikwete? kama dini waijua japo kidogo basi kuna Mtu aliitwa Jacob(Yakubu)(Israel) Alishawahi oa madada ndugu jambo la siku nyingi hili wewe ushamba umekujaa sana sana
 
Kuna namna nyingi za kuwa Kwenye hostoria, Hakuna historia hapo, huo Ni wrndawazimu unakusumbua.
sIKIA Bwana Mdogo uttoh2002 tokea ulipomtoroka mama yako kigoma jiji ushalizoea unaanza kutusi wakubwa zako.... wadhani sie hatujui kuwa wewe ni toto la nje a Ndoa!
 
Last edited by a moderator:
Sawa Kaka, maana umeniita mie Bwana mdogo, but still unachosema ni WENDAWAZIMU na UJINGA ..... period ....!
 
Back
Top Bottom