Natafuta majoho ya watoto ya graduation kwaajili ya kukodi

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
617
487
Habari za muda huu wapendwa? Kama mnavyoona katika title hapo mimi nipo Dar, Tanzania nahitaji majoho 15 ya watoto wa Nursery kwaajili ya kukodi na nayahitaji siku ya tarehe 8/12/2017. Yeyote aliyenayo au anajua ambapo naweza kuyapata, kwa heshima kubwa na taadhima naomba anitafute tuongee kikazi
 
Habari za mda huu wapendwa? Kama mnavyoona katika TITLE hapo mm nipo Dar,Tanzania nahitaj Majoho 15 ya watoto was Nursery kwaajili ya kukodi na nayahitaji Sikh ya tarehe 8/12/2017. Yoyote aliyonayo au anajua ambapo naweza kuyapata,kwa heshma kubwa na taadhima naomba anitafute tuongee kikazi
Waziri wa elimu alishakataza wanafunzi wa chekechea, primary, sekondary kuvaa majoho!! naona unamtafuta makuu mama wa watu ngoja uwe Dr Luis wa pili kwa ufemasi!!
 
Graduation*

Nyie watu wa Dar acheni mbwembwe toto linamaliza chekecheka er Graduation mnawafanya watoto wawe mazuzu mbeleni huko nyie wazaz mliozaliwa miaka ya 90 ni shida sana.
 
Hiyo ni illegal mkuu majoho wizara imezuia mpaka wanaohitimu Chuo kikuu
 
Wonders shall never end only in Tz. Joho la nini hata nchi zilizoendelea hazifanyi upuuzi huu. Sheria hairuhusu period!
 
Habari za muda huu wapendwa? Kama mnavyoona katika title hapo mimi nipo Dar, Tanzania nahitaji majoho 15 ya watoto wa Nursery kwaajili ya kukodi na nayahitaji siku ya tarehe 8/12/2017. Yeyote aliyenayo au anajua ambapo naweza kuyapata, kwa heshima kubwa na taadhima naomba anitafute tuongee kikazi
Majoho yamepigwa marufuku,kamuulize Joyce
 
Back
Top Bottom