Natafuta mahali pa kununua cartons za photocopy papers kwa shs. 28,000/=

Manyovu

Member
May 20, 2011
78
71
Wandugu, nina stationery shop USA River - Arusha na nataka kuanza kuuza cartons za photocopy papers kwani nimeona upo uhitaji mkubwa toka kwa wateja wangu. Badala ya kununua ream moja moja, wengine wanahitaji niwauzie carton nzima yenye ream 5 kwa bei ya jumla siyo ya reja reja.

Kwa maduka kadhaa niliyozungukia mjini Arusha naona kama bei yake iko kuanzia 30,000/= kwenda juu na nikichukua kwa bei hii naweza nikapata changamoto ya wateja wangu kuchukua kama nitaongeza elfu mbili- tatu kwa kila carton.

Ninaulizia kama kuna mahali naweza kupata kwa shs. 28,000/ kwa carton kwani kwa kuanza nataka kuchukua cartons 40

Unaweza kuni PM kama utaona siyo vizuri kuweka mawasiliano hapa.
 
Hi Nyakageni asante kwa response yako. Ila kwa sababu niko Arusha naona kama logistics zitakuwa ngumu. Inabidi niulizie watu wanaochukua mzigo Dar au niulize mabasi yanayokuja Dar kama wanaweza kubeba cartons 40-50 kwa mwezi na kuona watahitaji shs ngapi kama gharama ya usafirishaji.
 
mkuu tuwasiliane nina mzigo utafika katikati ya mwezi ujao..ni PM namba yako nina vitu vingi vya stationary..
 
Wa..

Kwa maduka kadhaa niliyozungukia mjini Arusha naona kama bei yake iko kuanzia 30,000/= .

Ninaulizia kama kuna mahali naweza kupata kwa shs. 28k.
Naweza kukupa kwa hiyo bei mpaka Arusha. Stock ipo hata ukitaka 20ft container. Ni PM nikupatie contact.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom