Kijana wa nzela na Bajjet ? Au umemaliza diploma? , zunguka kijana andika internship applications peleka wizara zote na banks zote.. Kwa ufupi peleka kwenye more than 30 organizations. Lazima utabahatisha hata mojaHabari wakuu,
Mimi ni graduate katika fani ya ugavi (procurement and logistics management), nlatafuta mahali pa kufanya internship ili niweze kuongeza ujuzi katika fani yangu. Nimemaliza chuo cha uhasibu Tanzania.
Kijana wa nzela na Bajjet ? Au umemaliza diploma? , zunguka kijana andika internship applications peleka wizara zote na banks zote.. Kwa ufupi peleka kwenye more than 30 organizations. Lazima utabahatisha hata moja
Umegraduate mwaka gan brotherWote wamenipika nzela na budget
tupo pamojaMwaka jana mkuu