Natafuta maduka ya Filamu (Movies) za DVD Orijino zisizotafsiriwa hapa Dar

Rango12

New Member
Jan 21, 2020
1
0
habari wa za muda huu,

Jamani anauejua maduka yanayouzwa DVD original zisizotafsiriwa anielekeze ninauhtajinazo, sitaki zilozotafsiriwa kwani zonaonesha vibaya resolution hovyo,

Nahitaji zisizotafsiriwa yaani HD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Download tu mwamba maana cd nying ubaniwa katika ts format download kisha burn as 16;8 as a file not dvd weka avi utafurahia screeen
 
Kwanini usidownload movie mkuu kwenye mtandao unapata movie yoyote unayoitaka unaweza hata kupata hata muhtasari wake google kabla hata hujaidownload kwa style hii huwezi kujuta kudownload movie,kuhusu kutozikubali movie zilizotafsiriwa nakuunga mkono,kwani ni maalumu kwa ajili ya idiots na vilaza
 
Back
Top Bottom