Natafuta machine ya kuangua mayai

More problems

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
433
257
Heshima kwenu wakuu...
Natafuta machine ya kuangua mayai naombeni maelekezo juu ya bei aina na ubora pamoja na uwezo kwa mwenye ufahamu.
 
91d2e352c7d48de24b10b7e88b0122a6.jpg


Mayai 112 hii bei ni 580,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom