Natafuta mabati yaliyotumika; nipo Mlandizi

Haya yatakufaa?
Wakuu habari zenu, natafuta mabati Used au yale reject kwa ajili ya kuezekea,nimeafiki hayo kwa sababu ya uwezo wangu wa kifedha unavyo niruhusu. Nipo Mlandizi


0655112023

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20191213_161842_634.jpeg


Jr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom