DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,276
- 5,929
You liked the post.
1.Nenda hospitali kwa dokta wa ngozi.
Au nunua acnotin mg20 kunywa 1×2 kwa siku 30
Nawia sabuni ya jamaa au sabuni yoyote isiyo na kemikali sana
Pakaa Hydrogenperoxide (dawa ya vidonda) na pamba usoni kaa nayo kwa dakika 20 then nawa na maji ya uvuguvugu
Pakaa Epiderm Cream Usoni asubuhi na jioni
Acnotin ni kwaajili ya chunusi
HydrogenPeroxide na Epiderm cream ni kwa madoa
Usipopona ndani ya mwezi basi umerogwa ndugu.
mkuu lotion au mafuta mazuri y kutumia pind unapotumia tiba hii ni IPI?1.Nenda hospitali kwa dokta wa ngozi.
Au nunua acnotin mg20 kunywa 1×2 kwa siku 30
Nawia sabuni ya jamaa au sabuni yoyote isiyo na kemikali sana
Pakaa Hydrogenperoxide (dawa ya vidonda) na pamba usoni kaa nayo kwa dakika 20 then nawa na maji ya uvuguvugu
Pakaa Epiderm Cream Usoni asubuhi na jioni
Acnotin ni kwaajili ya chunusi
HydrogenPeroxide na Epiderm cream ni kwa madoa
Usipopona ndani ya mwezi basi umerogwa ndugu.
Zipo maduka ya dawa na vipodoz??1.Nenda hospitali kwa dokta wa ngozi.
Au nunua acnotin mg20 kunywa 1×2 kwa siku 30
Nawia sabuni ya jamaa au sabuni yoyote isiyo na kemikali sana
Pakaa Hydrogenperoxide (dawa ya vidonda) na pamba usoni kaa nayo kwa dakika 20 then nawa na maji ya uvuguvugu
Pakaa Epiderm Cream Usoni asubuhi na jioni
Acnotin ni kwaajili ya chunusi
HydrogenPeroxide na Epiderm cream ni kwa madoa
Usipopona ndani ya mwezi basi umerogwa ndugu.
Bei gani?Hizo persol kabla ya kupaka pata kwanza ushauri wa kitaalamu, najua persol 5gm ni kwa ajili ya watu wenye machunusi kama majipu, kama haupo hivo ukijipaka yanakuja.... Waone wataalamu kwanza
Doxyline ndo ile Doxycycline ya kijani?????Nyie mnaojiita wajasiriamali wadogowadogo mnakera sana na viproducts vyenu eti havina chemicals..
Dawa ya chunusi sugu ni ACTON plus Retin A na Person plus Antibiotics Doxyline...sabuni atumie jamaa.
Eti call her. Shit!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo maduka ya dawa na vipodoz??
Bei vipi??Pharmacy kubwa kubwa
Bei vipi??