Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 578
Hiyo namba ya Mama Kiminjo (Korogwe) haijakamilika.
Huko mwanawe hatumuoni kuchukua tena bidhaa, ngoja tuiondoe.
Hiyo namba ya Mama Kiminjo (Korogwe) haijakamilika.
Zai mi Niko Dar naupataje?Piga 0713039875 utapatiwa huduma.
Naomba unambie na gharama pleasePiga 0713039875 utapatiwa huduma.
Naomba unambie na gharama please
Zai mi Niko Dar naupataje?
Nimempata Aisha pale M' nyamala...Leo siku ya pili nimeanza doziLeo tumeanza rasmi majaribio ya sabuni iliyotengenezwa kwa kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay.
Nimempata Aisha pale M' nyamala...Leo siku ya pili nimeanza dozi
Ahsante kwa ushauri.mkuu ni vizuri ukaonana na Daktari bigwa wa magonjwa ya ngozi kwani tatizo lako limekutesa muda mrefu mkuu
kunaAhsante kwa ushauri.
Unachuja nafaka?Nina sumbuliwa na chunusi yapata miaka saba sasa,nilishauriwa nisipake mafuta yoyote usoni lakini bado haijasaidia.Naona usoni nimekua na madoa na chunusi bado zipo. Nimeshauriwa nitafute clairmen cream,lakini naona ina hydroquinone ambayo wataalam wanasema so nzuri kwenye ngozi. Msaada wenu tafadhali, cream/lotion ninayoweza kutumia maana Uso hautamaniki. Mimi ni mwanaume,rangi ya ngozi yangu,maji ya kunde.
Kuchuja muhimuUnachuja nafaka?
Ahsante,nafanyia kazi.1.Nenda hospitali kwa dokta wa ngozi.
Au nunua acnotin mg20 kunywa 1×2 kwa siku 30
Nawia sabuni ya jamaa au sabuni yoyote isiyo na kemikali sana
Pakaa Hydrogenperoxide (dawa ya vidonda) na pamba usoni kaa nayo kwa dakika 20 then nawa na maji ya uvuguvugu
Pakaa Epiderm Cream Usoni asubuhi na jioni
Acnotin ni kwaajili ya chunusi
HydrogenPeroxide na Epiderm cream ni kwa madoa
Usipopona ndani ya mwezi basi umerogwa ndugu.
Sijatumia ndugu,ntajaribu.kuna
1. Persol ya 2.5gm gell na
2. Persol ya 5gm gell
huwa nzuri kwa chunusi lakini kwa kuwa zimekusumbua kwa muda mrefu najua utakuwa umesha zitumia
Tamshauri rafiki yangu afuate ushauri huu,chunusi zinamsumbua pia1.Nenda hospitali kwa dokta wa ngozi.