Natafuta lotion cream ya kuondoa chunusi

mpare wa milimani

mpare wa milimani

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
302
Points
500
mpare wa milimani

mpare wa milimani

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
302 500
Nina sumbuliwa na chunusi yapata miaka saba sasa,nilishauriwa nisipake mafuta yoyote usoni lakini bado haijasaidia.Naona usoni nimekua na madoa na chunusi bado zipo. Nimeshauriwa nitafute clairmen cream,lakini naona ina hydroquinone ambayo wataalam wanasema so nzuri kwenye ngozi. Msaada wenu tafadhali, cream/lotion ninayoweza kutumia maana Uso hautamaniki. Mimi ni mwanaume,rangi ya ngozi yangu,maji ya kunde.
Mimi niliteseka zaidi ya miaka saba ila nimepata lotion anaitwa MARICHA itafute hutojuta

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mpare wa milimani

mpare wa milimani

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
302
Points
500
mpare wa milimani

mpare wa milimani

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
302 500
kuna
1. Persol ya 2.5gm gell na
2. Persol ya 5gm gell
huwa nzuri kwa chunusi lakini kwa kuwa zimekusumbua kwa muda mrefu najua utakuwa umesha zitumia
Person forty ndio Nzuri japo ngozi lazima iwe kama ya Mzee kwanza

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mpare wa milimani

mpare wa milimani

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
302
Points
500
mpare wa milimani

mpare wa milimani

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
302 500
1.Nenda hospitali kwa dokta wa ngozi.
Au nunua acnotin mg20 kunywa 1×2 kwa siku 30

Nawia sabuni ya jamaa au sabuni yoyote isiyo na kemikali sana
Pakaa Hydrogenperoxide (dawa ya vidonda) na pamba usoni kaa nayo kwa dakika 20 then nawa na maji ya uvuguvugu
Pakaa Epiderm Cream Usoni asubuhi na jioni


Acnotin ni kwaajili ya chunusi
HydrogenPeroxide na Epiderm cream ni kwa madoa


Usipopona ndani ya mwezi basi umerogwa ndugu.
Epidem inachagua ngozi mi nilikua nakua mweupe lkn kila Leo madoa yanang'aa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
charty

charty

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Messages
7,317
Points
2,000
charty

charty

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2013
7,317 2,000
Hebu nenda kwanza kwa daktar wa ngozi..utibiwe kwa uhakika hizo chunusi..unaeza ukakuta una tatizo ndani ya damu.so ukipaka hayo macream unakua unayapooza tu na badae yanarudi tena,pole sana.
 
M

mustaphahamisi

Member
Joined
Sep 4, 2016
Messages
36
Points
95
M

mustaphahamisi

Member
Joined Sep 4, 2016
36 95
Ndugu uko na uso wenye mafuta using'ang'anie lotion tymia sabuni pia nzuri mno unaweza tumia lotion kumbe sabuni ndo inakuangusha hailandani na lotion unayoitumia so anze kwa hii tumia sabuni ya DOVE hukausha kabisa ngozi na unatakata ndugu yangu...!!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
kisinza daud

kisinza daud

Member
Joined
Feb 12, 2017
Messages
14
Points
45
kisinza daud

kisinza daud

Member
Joined Feb 12, 2017
14 45
Usihangaike kutafuta lotion

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Pritty wa joseph

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Messages
2,409
Points
2,000
Pritty wa joseph

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2014
2,409 2,000
Nitafute nikupatie dawa

0714547830

spend less, save more
 
Hacktivist

Hacktivist

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Messages
250
Points
225
Hacktivist

Hacktivist

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2017
250 225
Mkuu kama unapaka mafuta usoni embu jaribu kuacha kwanza...............
 
Msweet

Msweet

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Messages
1,710
Points
2,000
Msweet

Msweet

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2014
1,710 2,000
kuna
1. Persol ya 2.5gm gell na
2. Persol ya 5gm gell
huwa nzuri kwa chunusi lakini kwa kuwa zimekusumbua kwa muda mrefu najua utakuwa umesha zitumia
Hizi husaidia kwa muda tuu... With time vinagoma. Nafikiri hizo tajwa hapo juu sio suluisho la tatizo.
 
D

Damalu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2009
Messages
261
Points
225
D

Damalu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2009
261 225
Tum
Nina sumbuliwa na chunusi yapata miaka saba sasa,nilishauriwa nisipake mafuta yoyote usoni lakini bado haijasaidia.Naona usoni nimekua na madoa na chunusi bado zipo. Nimeshauriwa nitafute clairmen cream,lakini naona ina hydroquinone ambayo wataalam wanasema so nzuri kwenye ngozi. Msaada wenu tafadhali, cream/lotion ninayoweza kutumia maana Uso hautamaniki. Mimi ni mwanaume,rangi ya ngozi yangu,maji ya kunde.


Tumia sabuni ya splina itakusaidia kuondoa mabaka na machunusi kwenye ngozi yako


SPLINA CHLOROPHLL SOAP
Sabuni hii imetengenezwa na chlorophyll ya pekee yenye uwezo mkubwa wa kurejesha kinga ya ngozi na kuiponya kabisa.

KAZI ZA SPLINA CHLOROPHYLL SOAP

~Kurudisha ngozi na kuwa katika ubora wake wa asili hasa kwa wale walioathirika na vipodozi vya kemikali.
~Inaondoa mafuta kwenye ngozi na kufanya ngozi kuwa kavu na safi.
~Inaondoa mabaka,upele
~Inaondoa sumu zote katika ngozi
~Huondoa mafuta yaliyoganda kwenye ngozi na kufanya ngozi kupitisha hewa vizuri.
~Inaondoa chunusi na kuirudisha ngozi katika mng'ao wa asili
~Inatibu fungus za aina zote hata zile za kwenye vidole vya miguuni.
~Inatibu miwasho,harara na kuponya vidonda.
Ni nzuri kwa wanawake,mwanaume,watoto,vijana na wazee pia.

MATUMIZI
~Loweka ngozi kwenye maji
~Paka sabuni juu ya ngozi
~Sugua kwa dakika 1-3
~Suuza kwa maji masafi
Tumia Mara 2-3 kwa siku ili kupata matokea mazuri zaidi.
NOTE:Sabuni hii haijatengenezwa na kemikali,hivyo ni vema unapoitumia Sabuni hii usipake lotion zenye kemikali.
Wasiliana nasi kwa call 0692948695 whatsapp 0758768855

Mikoani tunatuma na pia tunauza jumla na rejareja
 
ms_mimi

ms_mimi

Member
Joined
Jun 23, 2017
Messages
94
Points
250
ms_mimi

ms_mimi

Member
Joined Jun 23, 2017
94 250
Pole kwa tatizo lako lakini pia nikushauri uifahamu aina ya ngozi yako kwanza. Yaani kama ni kavu au inamafuta, then ukihitaji kufahamu bidhaa zilizotengenezwa kwa kutumia malighafi asilia na ambazo itafaa kwa ngozi yako karibu me nitakudhirikisha.

0672416294 au 0629273281

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B

blinky255

Member
Joined
Oct 2, 2015
Messages
29
Points
95
B

blinky255

Member
Joined Oct 2, 2015
29 95
Tumia Pure skin utusahau kama uliwah kuwa na chunusi
Husaidia sana watu wenye ngozi ya mafuta yaan hupunguza mafuta na kuondoa chunusi kwa mwenye nazo.
Kwa maelezo zaidi 0658409474
 

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,342,808
Members 514,814
Posts 32,764,107
Top