Natafuta line za chuo za Airtel nipo Mtwara Mjini

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,525
Hyy wana JF..
Nipo mkoani Mtwara now some college.. So nahitaji line za chuo za Airtel, So naweza kupata maeneo gani hapa mjini..?
Wenyeji wa Mtwara msaada tafadhari

Nawasilisha
By Shombeshombe hapa...
 
Airtel sidhani kama wana line za chuo ila wana vocha za chuo
 
Nenda Airtel shop pale Maduka makubwa, chukua boda boda mwambie akupeleke Madukani airtel shop, au fika Stand kuu ya mabasi ndani pale, utaona miamvuli ya airtel fika hapi muulizie mtu wa kuitwa Bashiru Macho, au Hizza frank watakusaidia kuzipata...
 
Shukrani sana mkuu... Inabidi nidrop site hzo midamida
 
Back
Top Bottom