Natafuta Line ya Tigo Pesa....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Wadau natafuta line ya Tigo Pesa....sitaki ya kununua kwa mtu ila kama kuna mdau yupo Tigo.....PM bei.......!!
 
.siku hizi lines za tigo zinapatikana kwa shida sanaa..
..nyingi zinapatikana zikiwa na majina ya mawakala tayari so unaweza tumia hivyo hivyo na jina la mtu au ukachange kwenda jina lako,na itakubidi uwe na TIN NO.,LESENI YA BIASHARA&KITAMBULISHO CHAKO.
 
Back
Top Bottom