Baada ya nusu saa mkuuHiyo picha ni cooper baada ya electrowinning ya muda gani?
Now tulikua tunataka ku expand na project hio now tunataka kufua copper 99.9 percentUgeelezea kidogo kuhusu leaching....ili watu wajue na wahamasike...
Mkuu mambo hayoooCopper uliyoifanyia leaching ore yake ilikuwa na % ngapi before?
Naufuatilia Kwa ukaribuPoa kabisa! Uliona hii post ya jamaa wa copper?