Natafuta Leaching project investors

Ugeelezea kidogo kuhusu leaching....ili watu wajue na wahamasike...
Now tulikua tunataka ku expand na project hio now tunataka kufua copper 99.9 percent
Unahitaji mtaji mkubwa kidogo kwa kuanzia
Unatumia copper ore yenye low percent toka 5% and above unafanya kama video inavyoonyesha
Kwenye chumba cha kawaida unaweza vuna mpaka kg 300 daily za pure copper cathodes 99.9 %
Ukishaingiza mtaji huhitaji fedha tena unavuna kwa miezi 4.5 ndo unaongeza mchanga mwingine na chemical
Unaweza kupanuka unavyotaka. Ukianza na mtaji kama hutautoa unaweza kwensa mpaka tani 10 za copper kwa siku kutokana na mtaji ulioanza wa kg 300 kwa siku.
Ni mradi ambao hauna hasara au hasara ni very minimal na unaweza kurudisha fedha yako uliyowekeza baada ya miezi miwili yaani siku 60 baada ya hapo ukavuna kwa miezi 2.5 iliyobaki katika mzunguko wa kwanza na ukaendelea kupanuka kwa kutumia faida mpaka ukafika unakotaka.
Ni utaalamu mpya kwa Tz ila zambia ni wa muda mrefu
Atakayevutiwa aje inbox or whatapp or ani PM kwa maelezo ya ziada kwa hizoTunao utaalamu wa kutosha tuna leseni za uchimbaji
Tuna maeneo ya uchimbaji tuna eneo la uzalishaji
Tunahitaji mtu mwenye mtaji tuunganike.
 
Hii nzuri.. Ila kuzalisha tani 10 za copper cathodes 99.9% kwa siku, kama cu ore yako ni 5%, utahitaji ore tani 200 kwa siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom