Natafuta laptop ya kununua.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,557
8,552
Natafuta laptop ya kununua compaq,toshiba,hp dell mwenye kati ya brand hizi aniwekee specfctn zake na bei yake ni pm.
 
Dell 250 hard disc,ram 4gb, procesor 4.c.dual core,17 inches,web comera .red colour,its like new ,no scrutch.laki tisa top haina bei nyingine.0655945598.
 
nakushauri ununue mpya ndugu yangu manake si kila kitu mtumba jifunge jikaze nunua kipya.fanya tafiti pale heidery plaza ujue bei zake, nenda pale ubungo complex pia wanakaribiana na ufi zipo laptop pale mpya kwa bei nzuri ila kama unataka mtumba ujue madhara yake ni makubwa.Tanzania bila mitumba inawezekana pia.nadhani ukiwa na laki 8 utapata mpya bila programs kama microsoft unanunua mwenyewe na antivirus.lau huna hizo mwone huyu mwana JF jerry mony ili kama ni kimeo atakuwa responsible baadae.
 
Nimekusoma ngoja lakini kununua mitumba nimatatizo na siyo tabia!!mkuu
 
ecer e machine.brand new.ram3gb,hdd250gb.core2duo.2.1ghz.webcamera.14inches.laki nane unusu.0655945598
 
Angalia mkuu usijeshangaa spcfctn ziko safi sana but ni bonded humo ndani kuna toshiba, fujistu siemens, dell, sonny, na mengine sasa tafuta recovering software km utaipata hata kwa kudownload!
 
Angalia mkuu usijeshangaa spcfctn ziko safi sana but ni bonded humo ndani kuna toshiba, fujistu siemens, dell, sonny, na mengine sasa tafuta recovering software km utaipata hata kwa kudownload!

Duh!
Hio Kiboko
 
Binafsi nimeziona pale Heidery plaza zinaanzia $385 specs zake sio mbaya kama ambavyo tunaweza kusema ni za kisasa.
 
modem za zantel hazina line ni cdma system ambapo wanaiprogram namba sasa utawekaje line nyingine hapo??
 
Jamani i am still in demand tafadhali mwenye laptop pm me pls
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom