Natafuta laptop ya kununua second hand

pitapitapita

Member
Nov 2, 2010
10
0
MWENYE LAPTOP YA KUNUNUA SECOND HAND, NAHITAJI KWA SHUGHULI ZANGU ZA CHUO, PLEASE GIVE PRICE AND SPECIFICATIONS.

NAIIHITAJI HARAKA
Asante
 
Nina Laptop Sony VIO VGN-NS20M toleo la mwaka February 2009, bei Tshs 1,300,000/= sipunguzi hata kidogo.
 
Njoo mtaa wa Mkunguni, jirani na soko kuu la Kariakoo, pana duka la kuuza Computers used, ni katika jengo refu la Bakhresa. Karibu na hoteli ya AL Uruba, bei ni kuanzi 400,000 hadi 500,000
 
Back
Top Bottom