Natafuta Land Surveyor - Kazi ya Haraka

Ramthods

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
515
186
Wakuu,

Natafuta mtu anayeweza kuchukua co-ordinates za kiwanya changu ili kuweza kupata ramani ya mipango miji. Lengo ni kujua mipaka ya barabara ili kuepuka usumbufu wa bomoa bomoa miaka ijayo.

Nahitaji hii kitu kwa haraka sana. Kama unamfahamu mtu mwaminifu na anaependa kazi yake, nitashukuru kama utanitumia contact zake.

Natanguliza shukrani.
 
Ni mateapeli kuliko maelezo ..... atakwambia kwanza umpe laki 2 akachukue hicho kifaa halafu ndio jii hutomsikia tena ....
 
Ndio hulka yao kaka. Wanataka mpaka wazungu waje wawe wanafanya Land Surveying.

Watanzania tumekua na upeo mfupi sana kwenye maisha
 
Si kweli mkuu, Watu amegeneralize sana bana, Kama haujapata mtu bado watafute jamaa wa Ardhi Plan Ltd, ni wazuri sana na wamefanya kazi nyingi kubwa hapa Tanzania. Ukiwahitaji nijulishe nikuunganishe nao.
 
Last edited by a moderator:
sio utapeli huo mkuu.hiyo ni fees kwa ajili ya recconaissance,na hiyo ni hatua ya kwanza kabisa katika kazi zote za survey
 
Si kweli mkuu, Watu amegeneralize sana bana, Kama haujapata mtu bado watafute jamaa wa Ardhi Plan Ltd, ni wazuri sana na wamefanya kazi nyingi kubwa hapa Tanzania. Ukiwahitaji nijulishe nikuunganishe nao.

Bila kuunganishwa hawakufanyi kazi yako?

haya nawapa kazi ndogo tu, na nitarudi kuwapa matokeo kama ni wababaishaji ama vipi?

contacts zao hizi hapa

Ardhi Plan Ltd
Dar es salaam

Tanzania

emailButton.png

info@ardhiplan.co.tz

con_tel.png

+255 222 865 278

con_mobile.png

+255 756 368 522

con_info.png

30/W SHAURIMOYO, MARIAM TOWERS HOUSE 4TH FLOOR

web: Home | Ardhi Plan Ltd

Wanavyo onekana ni Land speculators/grabbers kama sisi wengine tu
 
Nilivyosema "nikuunganishe nao" nilimaanisha exactly ulivyofanya, kutoa contacts! Unavyosema LAND GRABBERS sijaelewa unamaanisha nini. Anyway ongea nao mkielewana wape kazi utuletee majibu, mimi nimeshafanya nao kazi mara kadhaa, na wameshafanya kazi na watu wengi ninaowafahamu maeneo mbalimbali ya Tanzania sijaona shida yoyote.
Sidhani kama Ardhi Plan wanaweza kuondoka na laki mbili yako.
Kila la heri Mkuu.
 
Problem is not about the money, it's delivering what your charging for!!!

Nitwapa kazi niwasikie!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom