Natafuta Laini ya Safaricom

ya. y a

kama unatafuta laini ya safaricom kwa minajili ya kudeposit na kuwitdraw kupitia templerfx hiyo Huduma imepigwa stop na hatima take bado haijulikani in bora uchukue ya Uganda au rwanda
Hamna mkuu mm biashara za hvyo sifanyagi kabisa hii laini ni kwaajili kupokelea hela nazofanyia kazi na kampuni za nje (partime jobs)

Sent from my SM-G610L using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom