Nipo kiti cha mbele kabisa Mimi nipo Swax nahitaji laini ya Safaricom
Mwenye laini za safaricom naomba uniambie ulipo nije kununua ukiwa Tanga,Arusha au Dar itapendeza zaidi
Mkuu, ni pm nikuunganishe nipo swax pia, na ninayo laini.Nipo kiti cha mbele kabisa Mimi nipo Swax nahitaji laini ya Safaricom
Jiunge group hili la teleram wauzaji wa hizo line na matatizo pamoja na utatuzi wanapatikana humoSafaricom SimCard, FOREX, Deposits & Withdrawals Group!
Forex, Deposits & Withdrawals Discussions!t.me
Mkuu, ni pm nikuunganishe nipo swax pia, na ninayo laini.
Hamna mkuu mm biashara za hvyo sifanyagi kabisa hii laini ni kwaajili kupokelea hela nazofanyia kazi na kampuni za nje (partime jobs)ya. y a
kama unatafuta laini ya safaricom kwa minajili ya kudeposit na kuwitdraw kupitia templerfx hiyo Huduma imepigwa stop na hatima take bado haijulikani in bora uchukue ya Uganda au rwanda
Hapana mkuu nikupokelea salaryUnaitaji for trading?
Mi nahitaji kwa ajiri ya kubet nipo makambakoUnaitaji for trading?
Mi nahitaji kwa ajiri ya kubet nipo makambako
Haya sawaSiwezi fanya utaratibu ukapata ukiwa huko ..better ungekua Dar Es Salaam
Bado unayo hiyo LAINI?Siwezi fanya utaratibu ukapata ukiwa huko ..better ungekua Dar Es Salaam
Laini zipo kuna jamaa anauza elfu 40Bado unayo hiyo LAINI?
Mhhh!! Kumbe biashara nzuri . 40K afu nataka kubetia tu..na betting siku hizi haieleweki.Laini zipo kuna jamaa anauza elfu 40