Natafuta kuku / vifaranga vya kuku wa kienyeji wa mwezi mmoja Kwa Morogoro

Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,403
1,132
Wakuu
Nina uhitaji wa kuku wa kienyeji wa kufuga / vifaranga wenye umri WA mwezi mmoja na zaidi Kwa sehemu Za Morogoro. Kama kuna mtu anaweza kuwa nao Naomba tuwasiliane. Wanahitajika Kwa wingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom