Natafuta kiwanja

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Habari, natafuta kiwanja maeneo ya Goba, Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni. Kiwe angalau na MITA 20x20 mpaka 20x25.
 
Habari, natafuta kiwanja maeneo ya Goba, Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni. Kiwe angalau na MITA 20x20 mpaka 20x25.

Viko kuanzia Mil 5 mpaka 80 toa maelezo ya kutosha Goba,Mbweni na Bunju unawexa kuwasiliana na mm 0621059449
 
Habari, natafuta kiwanja maeneo ya Goba, Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni. Kiwe angalau na MITA 20x20 mpaka 20x25.
Nitakupatia maeneo ya kigamboni kwa mawasiliona zaidi nitafute kwa namba hii.683297221
 
Habari, natafuta kiwanja maeneo ya Goba, Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni. Kiwe angalau na MITA 20x20 mpaka 20x25

Njoo nikuuzie changu kwa 3,500,000 Tshs Visiga - Kibaha.
Kimepimwa na ni kimoja katika eneo lenye viwanja vingi vilivyopimwa.
0763718328
 
Kuna nyumba na eneo limebaki mbezi juu mbuyuni inauzwa million 9 nicheki 0762612213 upaone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom