Natafuta kiwanja

Kimara mpaka kibamba ni maeneo ninayo yapenda na ambayo naona itakuwa rahic na shuhul zangu
 
kama utakuwa tayar me nnacho mbezi sio kikubwa sana kina msingi wa vyumba vitatu tayar mil3 nauza
 
ninacho cha kupima kwembe B sqm 858 Mil 20, nipm (is 2km from the road, maji umeme upo, karibu na mradi wa NHC
 
Habar wadau?natafuta kiwanja kwaajil ya makaz kiwepo maeneo ya kimara mpk kibamba pia kuwepo na huduma za jamii kama umeme maji nk,kisiwe mbali zaid ya km2 kutoka barabara kuu ya morogoro rd.mwenye taarifa msaada.
Njoo nikupe kiwanja kizuri boko magengeni tena kiwanja kina fensi na frem za duka mbele ni kizuri sana hakuna hata kilometer moja toka main road ukija huwezi kukiacha kwani kina sifa zote maji, umeme, barabara nzuri haina mashimo nk. Ukiwa serious# 0712464777
1467096290468.jpg
1467096313628.jpg
 
Njoo nikukatie kimara mbele ya Vyumba 8 nikukatie miguu eneo la mita mraba 400 bei ml.5 ni pm kama unaitaji maitaji yote yapo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom