Natafuta kiwanja Tegeta, Goba, Bunju, Boko

img_20150724_182036-jpg.342251



jamani nimefuliaaa mwenye pesa naomba nimuuzie hiki kiwanja
 
Oooh sawa kabisa, tunakata plot 20 kwa 25 bei 6.8ml maeneo ya mbele ya bunju kidogo ukivuka daraja tu maeneo ya kyaraka
Ndugu mkoa wa pwani nna mashamba ya kutosha ndiyo maana nkawa nnatamani nipate maeneo ya mjini Dar es Salaam
 
KUA MAKINI SANA , NA MAENEO ULIYOYATAJA KWANI NDO MAENEO YANAYOONGOXA KWA UTAPELI WA VIWANJA KWA HAPA DAR ES SALAAM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom