Natafuta kiwanja maeneo ya Kunduchi, Kawe na Mikocheni

Nsiande

JF-Expert Member
Jul 27, 2009
1,649
872
Habari za jioni wana JF
Ninatafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi maeneo ya kunduchi, mikocheni ama kawe, kwa wale ambao wana ufahamu kindly pm me au niachie ujumbe nikupigie kwenye thread hii, ukubwa ni kama robo tatu ya uwanja wa mpira wa miguu,
Offer yangu nitakueleza ukinipatia maelekezo sahihi pamoja na kuja kupatembelea
Nashukuru na jioni njema.
 
Kwa anayehitaji kiwanja kizuri sana. *Prime area* Nyuma ya barabara kubwa ya Mtaa, huitaji hata nguzo ya umeme.
Maji ya Dawasa yako Mita 12.

*NB: kituo cha basi ni Bunju-Mingoi, Njia ya kuelekea Kimere, Mita mia 600 toka barabara ya Lami*

Ni pazuri kwa Plan ya Makazi bora-binafsi/biashara au Apartments(Nyumba za kupangisha),

Ukubwa wa kiwanja ni (30mita kwa 30mita).
Square mita 9000.

Bei 20M

Contact: 0713 092 936

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mikocheni kipo kizuri Bei 150M mazungumzo luksa...... 0715-011022
Habari za jioni wana JF
Ninatafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi maeneo ya kunduchi, mikocheni ama kawe, kwa wale ambao wana ufahamu kindly pm me au niachie ujumbe nikupigie kwenye thread hii, ukubwa ni kama robo tatu ya uwanja wa mpira wa miguu,
Offer yangu nitakueleza ukinipatia maelekezo sahihi pamoja na kuja kupatembelea
Nashukuru na jioni njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Mikocheni Warioba mtafute Papaa Msofe ana kiwanja mitaa hiyo kitambo alikataa ofa ya 500 million Kama una dau juu utamvua Kiwanja hicho.

Pale kwenye gereji ya TTTR eneo lote linauzwa na Mzee mmiliki andaa kuanzia 500 million.

Na huo upande wa Palm Village au Mbalamwezi Beach kuna eneo lipo karibu na Beach ni Mali ya mhindi, nadhani ni plot ya 3 kutoka kwa Mzee Bomani.Hapo kuna Kiwanja ambacho kina servant quarter na kinafika beach bei ni 800millioni.
 
Kiwanja kinauzwa Mbweni jkt

1600 SQM

Bei 125m

0756060183
IMG_20200321_155051.jpeg
IMG_20200321_155055.jpeg
IMG_20200321_154942.jpeg
IMG_20200321_155044.jpeg
IMG_20200321_154912.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa anayehitaji kiwanja kizuri sana. *Prime area* Nyuma ya barabara kubwa ya Mtaa, huitaji hata nguzo ya umeme.
Maji ya Dawasa yako Mita 12.

*NB: kituo cha basi ni Bunju-Mingoi, Njia ya kuelekea Kimere, Mita mia 600 toka barabara ya Lami*

Ni pazuri kwa Plan ya Makazi bora-binafsi/biashara au Apartments(Nyumba za kupangisha),

Ukubwa wa kiwanja ni (30mita kwa 30mita).
Square mita 9000.

Bei 20M

Contact: 0713 092 936

Sent from my iPad using JamiiForums
Kukaa maeneno kilomita Zaidi ya 20 toka unapofanyia kazi ni hasara kubwa sana
 
Back
Top Bottom