Natafuta kiwanja kizuri chenye hati kigamboni, au bunju au boko au mbagala

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Natafuta kiwanja ambacho kiko sehemu nzuri na kiwe na hati ambacho bei yake isizidi milion 6
wapendwa nitashukuru
hata kama hakipo maeneo tajwa hapo juu lakini kipo eneo zuri nitafikiria baada ya kupaona
asanteni
 
Kwa hyo hela kanywee pombe tu hata kisicho pimwa hauwezi pata kwa fedha hyo na ukipata basi ndio kile ukijenga nyumba ushakimaliza hakuna parking wala pa kuchezea watoto!! Kijana kama huna hela bora uzichange kwanza ukiwa na 16m nitafute nikupe cha kupimwa full hati kipo kibada karibu na mpoki ze comedy..
 
Wewe sema unachotaka sikukatazi sema sana ila usijifanye unajuwa kila kitu kama unauza kiwanja chako kwa milion 16 au hata Milion 100 sema ila usizibe milango kwa wengine kwamba sitapata.Huo ndio ushauri wangu
 
Kiwanja cha kupimwa kwa bei hiyo upati hata kidogo hata ukipewa miaka miwili kukitafuta! Take it from bilieve dat hommie hatubishani hapa tunaelimishana tu!!
 
Kuna eneo linaitwa MBUTU, huko ni karibia 30kms from ferry. Huko anaweza kupata hicho kiwanja, na kimepimwa.

But afahamu tu kua sio kwa kukaa leo wala kesho maana miundombinu bado sana.
 
Kiwanja cha kupimwa kwa bei hiyo upati hata kidogo hata ukipewa miaka miwili kukitafuta! Take it from bilieve dat hommie hatubishani hapa tunaelimishana tu!!

Nakushangaa ukisema sipati? viwanja 30 vilitangazwa kwenye issa michuzi na bei zake ilikuwemo million 6 na 7 na kuendelea. Nimempigia simu jamaa leo anasema watu wameishakiwahi cha bei hiyo kimebakia cha 7 million na kuendelea.
Ninyi mnasema tu hamna hakika na msemalo. Usipende kujifanya unajuwa kila jambo
 
Ukiuliza location utaambiwa RAS DEGE, AMANI GOMVU, MBUTU, n.k.
 
chakua kati ya hivi , kuna sqm 300 gezaulole kina ofa, sqm 700 bweni kina hati, sqm 400 mzambarauni mbagara kina hati . sqm 775 changanyikeni kina hati , 0657 145555
 
akiri, hivyo vyote ni bei moja ya kama mdau alivyotaka au ni bei tofauti????
 
chakua kati ya hivi , kuna sqm 300 gezaulole kina ofa, sqm 700 bweni kina hati, sqm 400 mzambarauni mbagara kina hati . sqm 775 changanyikeni kina hati , 0657 145555

Icho Cha Changanyiken Ni Kule Nyuma ya Udsm?
 
hapana Tatizo la Dar watu hawana majina , majina yanajirudia yale yale hii ipo mbele ya gongo la mboto ni km unaenda kisalawe

Ajiandae tu kuchukua vibwebwe, wanacheza ngoma haooo. Baada ya mwezi hata kama ulikuwa ni mtu wa hip hop ngumu utaanza kujikuta unaweka ringtones za Mzee Yusuph kwenye simu yako. Kujitokeza kwenye misiba ya majirani ni jambo analotakiwa asilisahau pia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukiuliza location utaambiwa RAS DEGE, AMANI GOMVU, MBUTU, n.k.

Jamaa mbishi sana sie wazoefu tunamuelekeza analeta ujuaji,viwanja anavyotaka yeye ndio hvyo vya gezaulole ambapo bado pori,amani gomvu ni mbali sana kule labda baada ya miaka 20 ndio kutakuja kua kama kibada,viwanja navyomtajia ni tayari watu washapiga maghorofa yao!! Umeme upo!! Sqm 1200 anapata garden,parking lot,sehemu ya kuchezea watoto,sehemu ya kuchimba makaro,sehemu ya kuchimba kisima cha maji n.k
 
Nakushangaa ukisema sipati? viwanja 30 vilitangazwa kwenye issa michuzi na bei zake ilikuwemo million 6 na 7 na kuendelea. Nimempigia simu jamaa leo anasema watu wameishakiwahi cha bei hiyo kimebakia cha 7 million na kuendelea.
Ninyi mnasema tu hamna hakika na msemalo. Usipende kujifanya unajuwa kila jambo

Haya nenda kachukue hicho cha mil 7 kama ujaambiwa kipo nje ya mji kabisa..au chukua cha mbweni cha Akiri nauli kwenda sh 1,100 kutoka posta...posta-mwenge 300,Mwenge tegeta 400,tegeta-mbweni 400.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa mbishi sana sie wazoefu tunamuelekeza analeta ujuaji,viwanja anavyotaka yeye ndio hvyo vya gezaulole ambapo bado pori,amani gomvu ni mbali sana kule labda baada ya miaka 20 ndio kutakuja kua kama kibada,viwanja navyomtajia ni tayari watu washapiga maghorofa yao!! Umeme upo!! Sqm 1200 anapata garden,parking lot,sehemu ya kuchezea watoto,sehemu ya kuchimba makaro,sehemu ya kuchimba kisima cha maji n.k

Atakuwa amekuelewa ila kuliko akanywee pombe milioni sita mimi nadhani ni bora akanunue bodaboda mbili halafu atafute vijana awakabidhi wawe wanampa elfu nane kila mmoja kwa siku baada ya miaka mitano na nusu kama Mungu atakuwa amemuweka hai hela yake itakuwa imesharudi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamaa mbishi sana sie wazoefu tunamuelekeza analeta ujuaji,viwanja anavyotaka yeye ndio hvyo vya gezaulole ambapo bado pori,amani gomvu ni mbali sana kule labda baada ya miaka 20 ndio kutakuja kua kama kibada,viwanja navyomtajia ni tayari watu washapiga maghorofa yao!! Umeme upo!! Sqm 1200 anapata garden,parking lot,sehemu ya kuchezea watoto,sehemu ya kuchimba makaro,sehemu ya kuchimba kisima cha maji n.k

Anataka kwa Tshs 6Mil zake nae awe anatu-join pale Full Shangwe kwa mguu mida ya jioni, ha ha ha!!
E bana ntakutafuta kaka, soon naanza project yangu pale Block 10.
 
Hahahaaa anaplay makida makida kweli Full Shangwe unyamwezini...Au hawamuoni muarabu wa kibada mpoki akila upepo pale!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom