Natafuta kiwanja kizuri chenye hati kigamboni, au bunju au boko au mbagala

Hahahaaa anaplay makida makida kweli Full Shangwe unyamwezini...Au hawamuoni muarabu wa kibada mpoki akila upepo pale!!!

Ha ha ha,
E bana hivi hawa Jamaa wa Serikali lini watakuja kutuchongea barabara za mitaani aisee??
maoma kama ndio ishatoka hiyo, tumeingizwa chaka!!
Au we waonaje mkuu wangu??
Wamechonga tu mpaka block 6 nafikiri, tena upande wa kulia tu.
 
Mkuu kuchonga barabara ni easy sana mkiorganise watu wenye viwanja huko mkachanga hata sh 10,000 kwa kila mwenye kiwanja kuna grader nitakuunganishia la manispaa litakuja kuchonga bara bara za huko kote......
 
kaka,
Kule nkienda saiti naona mafundi tu, wenye nyumba wenyewe hawapo. But wajua huku kwengine wamechonga pamoja na kumwaga kifusi/kokoto/changarawe/what, so atleast barabara ni ngumu kidogo. Sisi hata tukikwangua still bado tatizo la vumbi au/na udongo wa kichanga litakuwepo
 
Fatilia manispaa ya tmk,ila kwa huko inabidi waweke na kifusi cha kokoto maana ardhi yake ni ya kichanga sana.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom