Gitarijosenga
JF-Expert Member
- Aug 3, 2019
- 276
- 273
Natafuta Kiwanja kibaha ,maana nimeona utakuwa mji mzuri sana Wa kiviwanda na biashara ,niunganisheni wadau ni furusa zipi zinapatjkana kibaha CBD?
Kwanini uanze na kumtisha kuwa vilivopimwa ni gharama? Wewe unajua bajeti ya mdau hapo juu? Kakwambia anataka vya bei rahisi?Viwanja vilivyopimwa unajua bei yake? Vinauzwa kwa square meter kuanzia 12,000 hadi 15,000 kwa maeneo karibu na kibaha. Ukitaka unafuu inabidi uende kwa ndani sana. Nunua kwa MTU binafsi maeneo yaliyosurveyed makazi ya watu kwa bei ya kuanzia mil. 4 hadi 5 kulingana na ukubwa. 20x20 in mil. 4 umeme, maji, barabara, shule n.k vipo. Njooo PM tufanye biashara
MASHAMBANatafuta Kiwanja kibaha ,maana nimeona utakuwa mji mzuri sana Wa kiviwanda na biashara ,niunganisheni wadau ni furusa zipi zinapatjkana kibaha CBD?
Mkuu kama hautojali unaweza taja range ya beiNakupongeza sana kwa mang'amuzi yako.
Nimesha wahi hapo viwanja viwili chap lakini bei imechangamka kidogo.
Nakushauri ili usipigwe, nenda pale Halmashauri kama unatokea Mbezi Louis panda gari za Kibaha shuka Sheli nikituo mbele ya Maliasili kisha ulishuka utaona Jengo kwa Nyuma pale nenda hapo.
Ulizia viwanja kisha fabya survey mwenyewe katika hizo sehemu lazima utapata unapopataka.
Umuhimu wa kufabya hivi ni Uraisi wa wewe kupata hati Miliki haraka kuliko kununua kwa mtu mkononi itakupa gharama kubwa za kuja kupima na kuendelea na process za hatimiliki.
Regards.
Mmmmmh hii bei INA uwalakin kibaha hii ninayoifaham mim ?labda Njia nane ya Kimara kibaha ikamilikeViwanja vilivyopimwa unajua bei yake? Vinauzwa kwa square meter kuanzia 12,000 hadi 15,000 kwa maeneo karibu na kibaha. Ukitaka unafuu inabidi uende kwa ndani sana. Nunua kwa MTU binafsi maeneo yaliyosurveyed makazi ya watu kwa bei ya kuanzia mil. 4 hadi 5 kulingana na ukubwa. 20x20 in mil. 4 umeme, maji, barabara, shule n.k vipo. Njooo PM tufanye biashara
Asante mkuu nitazingatia ushauri wako ,kibaha looks to be very potential in the near futureNakupongeza sana kwa mang'amuzi yako.
Nimesha wahi hapo viwanja viwili chap lakini bei imechangamka kidogo.
Nakushauri ili usipigwe, nenda pale Halmashauri kama unatokea Mbezi Louis panda gari za Kibaha shuka Sheli nikituo mbele ya Maliasili kisha ulishuka utaona Jengo kwa Nyuma pale nenda hapo.
Ulizia viwanja kisha fabya survey mwenyewe katika hizo sehemu lazima utapata unapopataka.
Umuhimu wa kufabya hivi ni Uraisi wa wewe kupata hati Miliki haraka kuliko kununua kwa mtu mkononi itakupa gharama kubwa za kuja kupima na kuendelea na process za hatimiliki.
Regards.
Natafuta Kiwanja kibaha ,maana nimeona utakuwa mji mzuri sana Wa kiviwanda na biashara ,niunganisheni wadau ni furusa zipi zinapatjkana kibaha CBD?
Kipo maeneo gan mkuu?Mie ninacho 1000 Sqmt nauza 11M
hati ninayo mkononi
Mimi nilichukua Lulanzi kibaha, mshana jr atakua anapajua hapo.Mkuu kama hautojali unaweza taja range ya bei
Maeneo ya wapi bagamoyo naeza pata hyo eka moja kwa 2m, pia kama unaeza kunisaidia nikapata eneo tajwa ntashukurMASHAMBA
MLANDIZI HEKA 1=MILION 4
BAGAMOYO HEKA 1=MILION 2
NI PMMaeneo ya wapi bagamoyo naeza pata hyo eka moja kwa 2m, pia kama unaeza kunisaidia nikapata eneo tajwa ntashukur
Kuna viwanja vipo Kibaha Kwa Mfipa Simbani, karibu na kituo cha watoto yatima cha mama Anna Mkapa, ukubwa kuanzia M 40 × 30. Huduma zote zipo maji, umeme, shule na kituo cha afya.Natafuta Kiwanja kibaha ,maana nimeona utakuwa mji mzuri sana Wa kiviwanda na biashara ,niunganisheni wadau ni furusa zipi zinapatjkana kibaha CBD?
Safi sana na pole kwa maswahiba yakupigwa, mkuu naomba nije chemba.Mimi nilichukua Lulanzi kibaha, mshana jr atakua anapajua hapo.
Kuna jamaa yeye amepima viwanja vingi sana kisha ameshirikisha Halmashauri uuzwaji wake so unanunua halmashauri na wewe unapambania hati tuu maan vishapimwa.
Bei inategema Ila inaanzia Sqm 12000 kuendelea hapo kwakua kisha pimwa mzee wewe nikwenda Halmashauri na
1. Mkataba wa mauzo
2. Muhtasari
3. Copy ya Kitambulisho cha Taifa
4. Ramani ya upimaji
wao watakadilia malipo ya awali kufungulia file. Kisha utalipia izo gharama na tayari file la hati linakua tayari ukiwa na uhakika wa hati yako kazi kulia kodi ya mwaka serikalini lkn unakua legit.
Ni kweli Gharama inakua kubwa lkn bora hivyo ambavyo vimepimwa kuliko kununua kiwanja hasa CHA KUJENGA MAKAZI YAKO YA KUDUMU kwa mtu mtaani akupige Sqm 18,000 hapo sasa kuja kupata hati yako utaimba hallelujah tena kwa Hali ya uchumi wa sasa.
My take.
Be and Act Smart, usinunue kiwanja bila kwenda serikali za mtaa kujiridhisha umiliki, then nenda Ardhi Wilaya akuchekia usalama wa eneo kisha Andaa documents kwa malipo.
Mimi nishapigwa nimejifunza natoa somo nanyi mjifunze.
Regards.