Natafuta Kiwanja Kibada.

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,003
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,
Natafuta kiwanja maeneo hayo,
Kiwanja kiwe kimepimwa,kiwe na hati ya serikali.
Ukubwa kuanzia sq mtrs 1000 na kuendelea.
Kiwe tambarare kabisa.
Kiwe block nzuri.
Kisiwe na mgogoro,
Dalali haitajiki.
Bei ni maelewano kati yangu na muuzaji.
Mwenyenacho tuwasiliane kwa PM.
Wasalaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom