Natafuta kiwanja Dar es Salaam

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,376
Habarini natafuta kiwanja Dar es Salaam maeneo ya Kibamba, Goba kiwe kizuri si ndani sana wala mbali sana.

Bajeti milioni 5.

Kwa mwenye nacho aniambie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom