Natafuta Kiwanja cha kununua Arusha maeneo ya nje ya mji kidogo

TheTruth

Member
Apr 1, 2012
29
3
nahitaji kiwanja cha kununua kati ya sh, million 3 mpaka 5..kiwe maeneo yenye maji na umeme na maeneo ya kuishi.....pls wasiliana na mimi 0658-000-569 nahitaji kiwanja hicho mapema.
 
nahitaji kiwanja cha kununua kati ya sh, million 3 mpaka 5..kiwe maeneo yenye maji na umeme na maeneo ya kuishi.....pls wasiliana na mimi 0658-000-569 nahitaji kiwanja hicho mapema.

kisongo utapapenda?
 
Sio mbaya kaka hata huko kisongo...ila nilipenda maeneo ya mwanama chini kule
 
Kaka mimi ni muenyeji wa arusha sema sikuwa arusha kwa miaka kadhaa iliyopita ndo nimerudi
 
kuna plots zinauzwa kisongo .nenda utapata ofisi ya kijiji watakuelekeza.

Knaan kama unataarifa zaidi hebu nimwagie. Mfano bei gani, ukubwa gani na ni surveyed au? Mwaga info zaidi kama unazo. Kama hauna ntakula hiace hadi ofisi ya kijiji
 
Mkuu hiyo bei kwa kiwanja cha ukubwa gani? Kama ni mwenyeji wa Arusha jaribu maeneo ya kwa Mrombo(oo). Unless otherwise Arusha wanalangua viwanja bila sababu!!
 
Mkuu naweza kukiona? Mi niko Arusha so kama unaweza tupange nikione weekend hii?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom