Mr. Politician
Member
- May 16, 2008
- 74
- 7
Habari!
natafuta kiwanja maeneo ya Buyuni kiwe cha kama sqm 1200 hivi.
Asante
natafuta kiwanja maeneo ya Buyuni kiwe cha kama sqm 1200 hivi.
Asante
..NimekuPM, soma ureply. Kiwanja ninacho.
Habari!
natafuta kiwanja maeneo ya Buyuni kiwe cha kama sqm 1200 hivi.
Asante
..
Nimeangalia sijaona
Buyuni si unaenda tu, unaonana na Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji, unakatiwa shamba mchezo umekwisha. Humu watakuzinguwa tu.
Sio kila mtu ni critic. Kama hujui ardhi inavyouzwa Dar kaa kimya au uliza ueleweshwe. Buyuni hakuna mashamba, kuna viwanja vya mradi viliuzwa kwa raia mwaka 2006. Mashamba yatoke wapi? Tatizo watu mkisikia jina msilolijua mnadhani ni shamba, au kijiji kisichoendelea unaweza tu kwenda na kununua. Kila kiwanja kina title deed huko. Na ni mji kama mbezi vile. Sasa nenda serekali za mitaa uingizwe mjini.
hehe! kuna tofauti ya Buyuni na MbuyuniMm ninacho kizuri kikubwa bei poua kiko hapa hapa maeneo unayoyataka mbuyuni. njia ya kwenda mwjnza km 50 kutoka musoma mjini.
kwani buyuni ni wapi nami niende nikamuone mwenyekitiBuyuni si unaenda tu, unaonana na Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji, unakatiwa shamba mchezo umekwisha. Humu watakuzinguwa tu.
Unanifundisha kwetu? Unanchekesha!