Natafuta kiumbe chenye sifa hizi (house girl)

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,804
Wana meta, natafuta house girl mwenye sifa zifuatazo;-
1. Amzidi Mke Wangu kwa uzuri
2. Amzidi akili
3. Amzidi taarifa
4. Amzidi usafi
5. Amzidi ujuzi wa kupika
6. Ajue ninayoyapenda na nisiyoyapenda
7. Awapende ndugu na Rafiki zangu
8. Shepu analo? Kama hana si Mali kitu, kwani hakujiumba. Bora kukosa shepu kuliko kununua shepu Kariakoo na baada ya muda mfupi ikageuka na kuwa shepu ya maiti
9. Ajue KAZI za Kitandani, hapa lazima testa niwe MWENYEWE
10. Amshinde Mke Wangu kila kitu
11. AWE TAYARI KUWA MKE MPYA BAADA YA FaizaFoxy, MAANA FaizaFoxy HATA KUNISALIMIA HATAKI
 
Back
Top Bottom