Natafuta kituo kizuri cha kurudia mtihani Moshi mjini

SECRET AGENT

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
252
487
Habari wadau, Kuna mdogo wangu yupo Moshi Mjini anahitaji arudie MTIHANI wa kidato cha nne katika masomo matano ya arts, anahitaj huduma ya tuition na kurudia mtihani.

Naomba Mwenye kujua kituo kizurii ambacho ataanza kusoma hapo tuition mwaka huu na mwakan asajiliwe Kama PC kufanya mtihani.
 
mshauri aende morogoro shule ya father pekupeku,hatojutia hata kidogo
 
Back
Top Bottom