JamanI wana JF, kama kawaida yenu najua nitapata msaada mzuri hapa. Ombi langu ni kutaka kujua kituo kizuri kwa ajili ya kurudia mitihani ya kidato cha sita masomo ya Art hapa Dar kama private candidate. Natanguliza shukurani zangu za dhati.