Natafuta kituo cha kufanyia mtihani wa kidato cha sita kama private candidate

Jokho

Member
Feb 9, 2017
16
7
Habari za wakati huu ndugu zangu,

Shida yangu ni kupata ushauri kutoka kwenu. Mimi nahitaji kufanya mtihani wa form six kama private Candidate kwa mchepuo wa CBN.

Shida yangu kubwa ni kwa wale wanaojua mahala pa kuzipata notes za haya masomo pamoja na vituo vizuri (centres za kufundishia).

Kwa wale ambao walishafanya mtihani wa form six as a private Candidate naomba uzoefu wenu.
 
ushauri wa bure kama utaweza kumpata mwalimu atakae kufundisha wewe pekee na kumfanya kuwa rafiki yako basi ni faida zaidi, kwasisi ambao tumeshuhudia jamaa zetu wamepita kwa njia hiyo japo tu uweze kumlipa vizuri. Centre ya kufanyia mtihani unajiandikisha popote na muda wowote
 
Ahsante sana ndugu yangu ntaufanyia kazi ushauri wako ubarkiwe sana
 
Habari za wakati huu ndugu zangu,

Shida yangu ni kupata ushauri kutoka kwenu. Mimi nahitaji kufanya mtihani wa form six kama private Candidate kwa mchepuo wa CBN.

Shida yangu kubwa ni kwa wale wanaojua mahala pa kuzipata notes za haya masomo pamoja na vituo vizuri (centres za kufundishia).

Kwa wale ambao walishafanya mtihani wa form six as a private Candidate naomba uzoefu wenu.
Mkuu ni ngumu kuwapata wakali wote pamoja, mfano mwenge kuna mkali wa Biology pale Mapambano.
Ukimwona unamwona pale pale unaulizia wa Chemia na Nutrition
 
Ahsante sana kk ubarikiw sana
 
Nicheki tutakua pamoja mimi nahitaji kufanya advance mathematics na chemistry kama reseater (0625 514893) ukimpata mkali wa chemistry nistue na mimi
 
Back
Top Bottom