Natafuta kitabu Human Rights cha C.P MAINA

laila

Member
Sep 7, 2011
10
1
wanajf mi natafuta nikinunue kitabu cha human rights in tanzania cha chris peter maina nimezunguka maduka la dar es salaam printers, tanzania publishing house,scolastica bookshop bila mafanikio yeyote anayejua kitabu hiki kinapouzwa anifahamishe nikinunue au aniuzie namba yangu 0713 747 679
 
mkuu mi ninacho, nadhani cha 1994, labda upige copy, sidhani kama kweli vinapatikana! Or jaribu kuingia libraries uwaombe wakupe utoe copy
 
nashukuru sana MIZIZI hicho kitanifaa nawezaje kupata nakala hiyo mi nipo dar actually kitabu hicho kina title human rights in tanzania selected cases and material published 1997 na CP MAINA.
 
nashukuru sana MIZIZI hicho kitanifaa nawezaje kupata nakala hiyo mi nipo dar actually kitabu hicho kina title human rights in tanzania selected cases and material published 1997 na CP MAINA.

Jaribu kwenda duka la vitabu pale Udsm. Mi nilikinunua mwaka juzi kwa sh 20,000. Kama ukikosa hapo, nenda faculty ya sheria nao pia huwa wanaviuza.
 
Jaribu kwenda duka la vitabu pale Udsm. Mi nilikinunua mwaka juzi kwa sh 20,000. Kama ukikosa hapo, nenda faculty ya sheria nao pia huwa wanaviuza.

Thanks kwa idea yako Kaumza nitaenda huko!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom