Natafuta kitabu chochote kilichoandikwa na J. M. Kikwete

Mzee Dogo

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
400
140
Binafsi ni msomaji mzuri wa vitabu, kupitia vitabu nimejifunza mengi sana kuhusiana na mitazamo ya waandishi, nimeshawishika kutafuta kitabu chochote kile ambacho kimeandikwa na mpendwa rais wetu (JMK) ili niweze kujua mitazamo yake kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoisibu jamii ya watanzania.

Mwenye ufahamu wa wapi naweza kukipata naomba msaada tafadhari
 
Huwezi kilata popote iwe duniani mpaka mbinguni.
 
Acheni utani, yaani muishiwa dhaifu asiende kuangalia ujenzi wa mahekalu yake mbugani kama vile Birila- Kempsik pale Serengeti, asiende kubembea Ufaransa, asihudhurie Kitchen party, Asihudhurie misiba ya wasanii, ashindwe kwenda kuvinjari ughaibuni aanze kuandika kitabu kwa faida ya nani hasa ?
 
Binafsi ni msomaji mzuri wa vitabu, kupitia vitabu nimejifunza mengi sana kuhusiana na mitazamo ya waandishi, nimeshawishika kutafuta kitabu chochote kile ambacho kimeandikwa na mpendwa rais wetu (JMK) ili niweze kujua mitazamo yake kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoisibu jamii ya watanzania. Mwenye ufahamu wa wapi naweza kukipata naomba msaada tafadhari

vilaza wanaandikaga vitabu?
 
Ana doctoret nne, so atakuwa mwandishi mzr sana.Plz vjn wa Lumumb tunaomba Maandiko ya faza wetu tuyapitie.
 
wakati unasubiri hicho kitabu tuwekee matokeo ya form four (elimu ya juu kabisa aliyoipata) mh mbowe
 
Binafsi ni msomaji mzuri wa vitabu, kupitia vitabu nimejifunza mengi sana kuhusiana na mitazamo ya waandishi, nimeshawishika kutafuta kitabu chochote kile ambacho kimeandikwa na mpendwa rais wetu (JMK) ili niweze kujua mitazamo yake kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoisibu jamii ya watanzania. Mwenye ufahamu wa wapi naweza kukipata naomba msaada tafadhari

Check with Prof. Julius Nanyoro wa University of North Carolina ni Mwandishi wa kitabu cha Jakaya Kikwete; Kikwete alikifungua hicho kitabu
 
Binafsi ni msomaji mzuri wa vitabu, kupitia vitabu nimejifunza mengi sana kuhusiana na mitazamo ya waandishi, nimeshawishika kutafuta kitabu chochote kile ambacho kimeandikwa na mpendwa rais wetu (JMK) ili niweze kujua mitazamo yake kuhusiana na mambo mbalimbali yanayoisibu jamii ya watanzania. Mwenye ufahamu wa wapi naweza kukipata naomba msaada tafadhari

Endelea tu kutafuta, usichoke hata ikikuchukua karne moja...
 
nashukuru kwa kuwa umetambua kua ukubwa wa pua co wingi wa kamasi! huyo mwenye doctrate anafanya nn zaidi ya kukenuakenua utazani wa tz tunashida kubwa ya meno? c afadhali huyu alieishia four bt impact yake tunaiona? mkuu jieshimu, usicheze na hisia za watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom